Kumbukumbu la Torati 2:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 kama vile alivyowafanyia wana wa Esau, waliokaa Seiri, alipowaangamiza Wahori mbele yao; wakawafuata, wakakaa badala yao hadi hivi leo; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Mwenyezi-Mungu alifanya kama alivyowafanyia wazawa wa Esau, Waedomu, ambao wanaishi katika nchi ya Seiri. Aliwaangamiza Wahori wakati Waedomu walipofika huko, wakainyakua nchi yao na kuishi humo hadi leo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Mwenyezi-Mungu alifanya kama alivyowafanyia wazawa wa Esau, Waedomu, ambao wanaishi katika nchi ya Seiri. Aliwaangamiza Wahori wakati Waedomu walipofika huko, wakainyakua nchi yao na kuishi humo hadi leo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Mwenyezi-Mungu alifanya kama alivyowafanyia wazawa wa Esau, Waedomu, ambao wanaishi katika nchi ya Seiri. Aliwaangamiza Wahori wakati Waedomu walipofika huko, wakainyakua nchi yao na kuishi humo hadi leo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Mwenyezi Mungu alikuwa amefanya vivyo hivyo kwa wazao wa Esau, ambao waliishi Seiri, alipowaangamiza Wahori watoke mbele yao. Waliwafukuza na wao wakaishi mahali pao hadi leo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 bwana alikuwa amefanya vivyo hivyo kwa wazao wa Esau, ambao waliishi Seiri, wakati alipowaangamiza Wahori watoke mbele yao. Waliwafukuza na wao wakaishi mahali pao mpaka leo. Tazama sura |