Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 2:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

16 Basi ikawa, walipoangamizwa kwa kufa watu wote wa vita waliokuwemo,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 “Basi, watu hao wote wenye umri wa kwenda vitani walipokwisha aga dunia,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 “Basi, watu hao wote wenye umri wa kwenda vitani walipokwisha aga dunia,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 “Basi, watu hao wote wenye umri wa kwenda vitani walipokwisha aga dunia,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Ikawa baada ya mtu wa mwisho wa wale walioweza kwenda vitani kufa,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Ikawa baada ya mtu wa mwisho kuanzia wale wawezao kwenda vitani kufa,

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 2:16
5 Marejeleo ya Msalaba  

Na walipotoka mjini, kabla hawajaendelea sana, Yusufu akamwambia yule msimamizi wa nyumba yake, Ondoka, uwafuate watu hawa, nawe utakapowapata, waambie, Kwa nini mmelipa mabaya kwa mema?


Kila mtu akaribiaye, aikaribiaye maskani ya BWANA, hufa; je! Tutakufa sote pia?


Na siku tulizokuwa tukienda kutoka Kadesh-barnea hata tulipovuka kijito cha Zeredi, ilikuwa ni miaka thelathini na minane; maana, hata walipokwisha kuangamizwa watu wa vita kutoka kati ya kambi, kizazi chao chote, kama walivyoapiwa na BWANA.


BWANA aliniambia, akasema,


Na sababu ya Yoshua kutahiri ni hii; watu wote wanaume waliotoka Misri, waliokuwa wapiganaji vita wote walifariki katika safari jangwani baada ya kutoka Misri.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo