Kumbukumbu la Torati 19:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 nawe ukiyashika maagizo haya yote nikuagizayo leo, na kuyafanya, kumpenda BWANA, Mungu wako, na kwenda sikuzote katika njia zake, ndipo ujiongezee miji mitatu tena, pamoja na mitatu ile; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 ikiwa mtakuwa waangalifu kushika amri hizi zote ninazowaamuru hivi leo, mkampenda Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kufuata siku zote njia zake – basi, mtaongeza miji mingine mitatu zaidi ya hii mitatu, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 ikiwa mtakuwa waangalifu kushika amri hizi zote ninazowaamuru hivi leo, mkampenda Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kufuata siku zote njia zake – basi, mtaongeza miji mingine mitatu zaidi ya hii mitatu, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 ikiwa mtakuwa waangalifu kushika amri hizi zote ninazowaamuru hivi leo, mkampenda Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kufuata siku zote njia zake — basi, mtaongeza miji mingine mitatu zaidi ya hii mitatu, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 kwa sababu mmefuata kwa uangalifu sheria zote ninazowaamuru leo, kumpenda Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, na kuenenda siku zote katika njia zake, ndipo mtenge miji mingine mitatu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 kwa sababu mmefuata kwa uangalifu sheria zote ninazowaamuru leo, kumpenda bwana Mwenyezi Mungu wenu na kuenenda siku zote katika njia zake, ndipo mtenge miji mingine, mitatu zaidi. Tazama sura |