Kumbukumbu la Torati 19:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Kwa sababu hii ninakuamuru, na kukuambia, Ujitengee miji mitatu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Kwa hiyo mimi nawaamuru mtenge miji mitatu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Kwa hiyo mimi nawaamuru mtenge miji mitatu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Kwa hiyo mimi nawaamuru mtenge miji mitatu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Hii ndiyo sababu nimewaagiza ninyi kutenga miji mitatu ya makimbilio kwa ajili yenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Hii ndiyo sababu nimewaagiza ninyi kutenga miji mitatu ya makimbilio kwa ajili yenu. Tazama sura |