Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 19:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

2 itenge miji mitatu iwe kwako katikati ya nchi yako, akupayo BWANA, Mungu wako, kuimiliki.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 mtatenga miji mitatu katika nchi atakayowapatia Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, muimiliki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 mtatenga miji mitatu katika nchi atakayowapatia Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, muimiliki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 mtatenga miji mitatu katika nchi atakayowapatia Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, muimiliki.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 ndipo mtenge miji mitatu iliyopo katikati ya nchi kwa ajili yenu, katika nchi ambayo Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, anawapa kuimiliki.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 ndipo mtenge miji mitatu iliyopo katikati ya nchi kwa ajili yenu, katika nchi ambayo bwana Mwenyezi Mungu wenu anawapa kuimiliki.

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 19:2
7 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini kama hakumvizia, ila Mungu amemtia mkononi mwake; basi nitakuonesha mahali atakapopakimbilia.


Itengeze njia, igawanye na mipaka ya nchi yako, akurithishayo BWANA, Mungu wako, iwe mafungu matatu, ili kwamba kila mwenye kuua mtu apate kukimbilia huko.


Nikawaamuru wakati huo, nikawaambia, BWANA, Mungu wenu, amewapa ninyi nchi hii muimiliki, basi vukeni ng'ambo wenye silaha mbele ya ndugu zenu, wana wa Israeli, nyote mlio mashujaa.


ili kwa vitu viwili visivyoweza kubadilika, ambavyo katika hivyo Mungu hawezi kusema uongo, tupate faraja iliyo imara, sisi tuliokimbilia kuyashika matumaini yale yawekwayo mbele yetu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo