Kumbukumbu la Torati 19:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Usiiondoe alama ya mpaka wa jirani yako, waliouweka watu wa kale katika urithi wako, utakaorithi ndani ya nchi akupayo BWANA, Mungu wako, uimiliki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 “Msiondoe alama ya mipaka ya jirani zenu, ambayo iliwekwa hapo zamani katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu wenu anawapatieni mwimiliki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 “Msiondoe alama ya mipaka ya jirani zenu, ambayo iliwekwa hapo zamani katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu wenu anawapatieni mwimiliki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 “Msiondoe alama ya mipaka ya jirani zenu, ambayo iliwekwa hapo zamani katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu wenu anawapatieni mwimiliki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Usisogeze jiwe la mpaka wa jirani yako ambao uliwekwa na wale waliokutangulia katika urithi upokeao katika nchi Mwenyezi Mungu, Mungu wako, anayowapa kuimiliki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Usisogeze jiwe la mpaka wa jirani yako ambao uliwekwa na wale waliokutangulia katika urithi upokeao katika nchi bwana Mwenyezi Mungu wako anayowapa kuimiliki. Tazama sura |