Kumbukumbu la Torati 18:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 na atumike kwa jina la BWANA, Mungu wake, kama wafanyavyo ndugu zake wote, Walawi wasimamao huko mbele za BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 na hapo anaweza kuhudumu kwa jina la Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, kama wale Walawi wengine wanaohudumu mbele ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 na hapo anaweza kuhudumu kwa jina la Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, kama wale Walawi wengine wanaohudumu mbele ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 na hapo anaweza kuhudumu kwa jina la Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, kama wale Walawi wengine wanaohudumu mbele ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 anaweza akahudumu katika jina la Mwenyezi Mungu, Mungu wake, kama Walawi wenzake wote wanaohudumu hapo mbele za Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 anaweza akahudumu katika jina la bwana Mwenyezi Mungu wake kama Walawi wenzake wote wanaohudumu hapo mbele za bwana. Tazama sura |