Kumbukumbu la Torati 17:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 ndipo umchukue nje malangoni kwako, yule mtu mume, au yule mwanamke, aliyefanya jambo lile ovu; ukawapige kwa mawe, wafe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 basi, mtoeni mtu huyo nje ya miji na kumpiga mawe mpaka afe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 basi, mtoeni mtu huyo nje ya miji na kumpiga mawe mpaka afe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 basi, mtoeni mtu huyo nje ya miji na kumpiga mawe mpaka afe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 mchukueni huyo mwanaume au mwanamke ambaye amelifanya tendo hili ovu kwenye lango la mji wenu na kumpiga mawe mtu huyo hadi afe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 mchukueni huyo mwanaume au mwanamke ambaye amelifanya tendo hili ovu kwenye lango la mji wenu na kumpiga mawe mtu huyo mpaka afe. Tazama sura |
Na yule nabii, au yule mwotaji wa ndoto, na auawe, kwa kuwa amesema yaliyopotoka juu ya BWANA, Mungu wenu, aliyewatoa katika nchi ya Misri, akakukomboa katika nyumba ya utumwa, apate yule mtu kukupotoa katika njia aliyokuamuru BWANA, Mungu wako, uiendee. Ndivyo utakavyouondoa uovu utoke katikati yako.