Kumbukumbu la Torati 17:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 nawe fanya sawasawa na hukumu watakayokuonesha mahali hapo atakapochagua BWANA; nawe tunza kufanya kwa mfano wa yote watakayokufunza; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Kisha mtafanya kama watakavyowatangazieni pale mahali Bwana atakapopachagua; mtakuwa waangalifu kufanya yote kama watakavyowaagiza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Kisha mtafanya kama watakavyowatangazieni pale mahali Bwana atakapopachagua; mtakuwa waangalifu kufanya yote kama watakavyowaagiza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Kisha mtafanya kama watakavyowatangazieni pale mahali Bwana atakapopachagua; mtakuwa waangalifu kufanya yote kama watakavyowaagiza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Ni lazima mtende sawasawa na maamuzi watakayowapa mahali Mwenyezi Mungu atakapopachagua. Kuweni waangalifu kufanya kila kitu watakachowaongoza kufanya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Ni lazima mtende sawasawa na maamuzi watakayowapa mahali bwana atakapopachagua. Kuweni waangalifu kufanya kila kitu watakachowaongoza kufanya. Tazama sura |