Kumbukumbu la Torati 16:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Jihesabie majuma saba; tangu wakati uanzao kutia mundu katika mmea utaanza kuhesabu majuma saba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 “Mtahesabu majuma saba; mtaanza kuyahesabu tangu mnapoanza kuvuna nafaka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 “Mtahesabu majuma saba; mtaanza kuyahesabu tangu mnapoanza kuvuna nafaka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 “Mtahesabu majuma saba; mtaanza kuyahesabu tangu mnapoanza kuvuna nafaka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Mhesabu majuma saba tangu wakati mnapoanza kuchukua mundu kuvuna nafaka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Mhesabu majuma saba tangu wakati mnapoanza kuchukua mundu kuvuna nafaka. Tazama sura |