Kumbukumbu la Torati 16:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Siku sita utakula mikate isiyotiwa chachu; na siku ya saba na uwe mkutano mtukufu kwa BWANA, Mungu wako, usifanye kazi yoyote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Kwa siku sita mtakula mikate isiyotiwa chachu; na mnamo siku ya saba utakuwapo mkutano mkubwa wa kumwabudu Mwenyezi-Mungu, na msifanye kazi yoyote siku hiyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Kwa siku sita mtakula mikate isiyotiwa chachu; na mnamo siku ya saba utakuwapo mkutano mkubwa wa kumwabudu Mwenyezi-Mungu, na msifanye kazi yoyote siku hiyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Kwa siku sita mtakula mikate isiyotiwa chachu; na mnamo siku ya saba utakuwapo mkutano mkubwa wa kumwabudu Mwenyezi-Mungu, na msifanye kazi yoyote siku hiyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Kwa siku sita mtakula mikate isiyotiwa chachu na siku ya saba fanyeni kusanyiko kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, na msifanye kazi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Kwa siku sita mtakula mikate isiyotiwa chachu na siku ya saba fanyeni kusanyiko kwa ajili ya bwana Mwenyezi Mungu wenu na msifanye kazi. Tazama sura |