Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 16:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

22 Wala usisimamishe nguzo; ambayo BWANA, Mungu wako, aichukia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Wala msisimamishe nguzo ambayo Mwenyezi-Mungu Mungu wako anaichukia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Wala msisimamishe nguzo ambayo Mwenyezi-Mungu Mungu wako anaichukia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Wala msisimamishe nguzo ambayo Mwenyezi-Mungu Mungu wako anaichukia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 wala msisimamishe jiwe la kuabudu, kwa maana Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, anavichukia vitu hivi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 wala msisimamishe jiwe la kuabudu, kwa maana bwana Mwenyezi Mungu wenu anavichukia vitu hivi.

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 16:22
13 Marejeleo ya Msalaba  

Maana hao pia wakajijengea mahali pa juu, na nguzo, na maashera, juu ya kila kilima kirefu, na chini ya kila mti wenye majani mabichi.


Wakajisimamishia nguzo na maashera juu ya kila mlima mrefu, na chini ya kila mti wenye majani mabichi;


Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.


Bali utabomoa madhabahu zao, na kuvunjavunja nguzo zao, na kuyakatakata maashera yao.


Tena nilituma kwenu watumishi wangu wote, manabii, nikiamka mapema na kuwatuma, nikisema, Basi ninyi; msilifanye chukizo hili linalochukiza.


Msifanye sanamu yoyote, wala msijisimamishie sanamu ya kuchonga, wala mnara, wala msiweke jiwe lolote lililochorwa katika nchi yenu ili kulisujudia; kwa kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.


wala mtu wa kwenu asiwaze mabaya moyoni mwake juu ya jirani yake; wala msipende kiapo cha uongo; maana hayo yote ndiyo niyachukiayo, asema BWANA.


Usimtende kama haya BWANA, Mungu wako; kwani kila yaliyo machukizo kwa BWANA, ayachukiayo yeye, wameifanyia miungu yao; kwa maana hata wana wao na binti zao huiteketezea hiyo miungu yao ndani ya moto.


msije mkajiharibu nafsi zenu, mkajifanyia sanamu ya kuchonga, mfano wa sura yoyote, mfano wa mwanamume au mwanamke,


Jihadharini nafsi zenu, msije mkalisahau agano la BWANA, Mungu wenu, alilolifanya nanyi, mkajifanyia sanamu ya kuchonga, mfano wa umbo la kitu chochote ulichokatazwa na BWANA, Mungu wenu,


Utakapozaa wana, na wana wa wana, mkisha kuwa katika nchi siku nyingi, mkajiharibu na kufanya sanamu ya kuchonga kwa umbo la kitu chochote, mkafanya ambayo ni maovu machoni pa BWANA Mungu wako, na kumtia hasira;


Vivyo hivyo wewe nawe unao watu wayashikao mafundisho ya Wanikolai vile vile.


Lakini una jambo hili, kwamba wayachukia matendo ya Wanikolai, ambayo mimi pia nayachukia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo