Kumbukumbu la Torati 16:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Yaliyo haki kabisa ndiyo utakayoyafuata, ili upate kuishi na kuirithi nchi upewayo na BWANA, Mungu wako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Mtazingatia haki tu, ili mpate kuishi na kuimiliki nchi mnayopewa na Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Mtazingatia haki tu, ili mpate kuishi na kuimiliki nchi mnayopewa na Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Mtazingatia haki tu, ili mpate kuishi na kuimiliki nchi mnayopewa na Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Mfuate haki na haki peke yake, ili mweze kuishi na kuimiliki nchi ambayo Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, anawapa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Mfuate haki na haki peke yake, ili mweze kuishi na kuimiliki nchi ambayo bwana Mwenyezi Mungu wenu anawapa. Tazama sura |