Kumbukumbu la Torati 16:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Weka waamuzi na maofisa katika malango yako yote akupayo BWANA, Mungu wako, kwa hesabu ya kabila zako; nao wawaamue watu kwa maamuzi ya haki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 “Mtateua waamuzi na maofisa kutoka makabila yenu katika miji yenu ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawapa, nao watatoa hukumu za haki kwa watu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 “Mtateua waamuzi na maofisa kutoka makabila yenu katika miji yenu ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawapa, nao watatoa hukumu za haki kwa watu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 “Mtateua waamuzi na maofisa kutoka makabila yenu katika miji yenu ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawapa, nao watatoa hukumu za haki kwa watu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Wateue waamuzi na maafisa kwa kila kabila lenu katika kila mji ambao Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, anawapa, nao watawaamua watu kwa usawa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Wateue waamuzi na maafisa kwa kila kabila lenu katika kila mji ambao bwana Mwenyezi Mungu wenu anawapa, nao watawaamua watu kwa usawa. Tazama sura |