Kumbukumbu la Torati 16:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Fanya sikukuu ya vibanda siku saba, utakapokwisha kuyakusanya yatokayo katika sakafu yako ya nafaka, na katika kinu chako cha divai; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 “Baada ya kupura nafaka yenu yote na kukamua zabibu zenu, adhimisheni sikukuu ya vibanda kwa muda wa siku saba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 “Baada ya kupura nafaka yenu yote na kukamua zabibu zenu, adhimisheni sikukuu ya vibanda kwa muda wa siku saba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 “Baada ya kupura nafaka yenu yote na kukamua zabibu zenu, adhimisheni sikukuu ya vibanda kwa muda wa siku saba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Adhimisheni sikukuu ya vibanda kwa siku saba baada ya kukusanya mazao kutoka sakafu yako ya kupuria nafaka, na kutoka shinikizo lako la kukamulia zabibu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Adhimisheni sikukuu ya vibanda kwa siku saba baada ya kukusanya mazao yenu ya nafaka na kukamua zabibu. Tazama sura |