Kumbukumbu la Torati 15:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Lakini hawatakuwako maskini kwenu; (kwa kuwa BWANA atakubarikia kweli katika nchi akupayo BWANA, Mungu wako, uimiliki, iwe urithi wako;) Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 “Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu atawabariki katika nchi anayowapa iwe mali yenu. Hakuna hata mmoja atakayekuwa maskini kati yenu, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 “Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu atawabariki katika nchi anayowapa iwe mali yenu. Hakuna hata mmoja atakayekuwa maskini kati yenu, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 “Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu atawabariki katika nchi anayowapa iwe mali yenu. Hakuna hata mmoja atakayekuwa maskini kati yenu, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Hata hivyo, hapatakuwa na maskini miongoni mwenu, kwa kuwa katika nchi Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, anayowapa kuimiliki kama urithi wenu, atawabariki sana, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Hata hivyo, hapatakuwepo maskini miongoni mwenu, kwa kuwa katika nchi bwana Mwenyezi Mungu wenu anayowapa kuimiliki kama urithi wenu, atawabariki sana, Tazama sura |