Kumbukumbu la Torati 15:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Utamla ndani ya malango yako; wasio tohara na wenye tohara pia watakula, kama unavyokula paa na kulungu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Utamla mnyama wa namna hiyo ukiwa katika mji wako; pia wote walio safi na wasio safi wanaweza kumla kama unavyokula paa au kulungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Utamla mnyama wa namna hiyo ukiwa katika mji wako; pia wote walio safi na wasio safi wanaweza kumla kama unavyokula paa au kulungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Utamla mnyama wa namna hiyo ukiwa katika mji wako; pia wote walio safi na wasio safi wanaweza kumla kama unavyokula paa au kulungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Itawapasa kumla ninyi wenyewe katika miji yenu. Wote walio najisi na waliotakasika mwaweza kula kama vile mnavyokula paa au kulungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Itawapasa kumla ninyi wenyewe katika miji yenu. Wote wasio safi na walio safi kwa desturi za kiibada mwaweza kula kama vile mnavyokula paa au kulungu. Tazama sura |