Kumbukumbu la Torati 14:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Mtakula hawa katika wote walio majini; kila kilicho na mapezi na magamba mtakula; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 “Mnaweza kula kila aina ya samaki wenye mapezi na magamba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 “Mnaweza kula kila aina ya samaki wenye mapezi na magamba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 “Mnaweza kula kila aina ya samaki wenye mapezi na magamba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Katika viumbe hai vyote viishivyo kwenye maji, mnaweza kula yeyote aliye na mapezi na magamba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Katika viumbe hai vyote viishivyo kwenye maji, mnaweza kula yeyote aliye na mapezi na magamba. Tazama sura |