Kumbukumbu la Torati 14:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 na kila mnyama aliyepasuliwa ukwato, ukapasuka ukwato wake zikawa mbili, naye ni mnyama mwenye kucheua akatafuna tena, katika wanyama wote, ndiye mnyama mtakayemla. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 na kila mnyama mwenye kwato zilizogawanyika sehemu mbili na mwenye kucheua, huyo mnaweza kula. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 na kila mnyama mwenye kwato zilizogawanyika sehemu mbili na mwenye kucheua, huyo mnaweza kula. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 na kila mnyama mwenye kwato zilizogawanyika sehemu mbili na mwenye kucheua, huyo mnaweza kula. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Mnaweza kumla mnyama yeyote mwenye kwato zilizogawanyika mara mbili, pia yule anayecheua. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Mnaweza kumla mnyama yeyote mwenye kwato zilizogawanyika mara mbili, pia yule anayecheua. Tazama sura |