Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 14:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

4 Wanyama mtakaokula ni hawa ng'ombe, na kondoo, na mbuzi,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Mnaweza kula wanyama wafuatao: Ng'ombe, kondoo, mbuzi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Mnaweza kula wanyama wafuatao: Ng'ombe, kondoo, mbuzi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Mnaweza kula wanyama wafuatao: ng'ombe, kondoo, mbuzi,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Hawa ndio wanyama mtakaokula: ng’ombe, kondoo, mbuzi,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Hawa ndio wanyama mtakaokula: ng’ombe, kondoo, mbuzi,

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 14:4
5 Marejeleo ya Msalaba  

na ng'ombe kumi walionona, na ng'ombe ishirini za malisho, na kondoo mia moja, pamoja na ayala, na paa, na kulungu, na kuku walionona.


BWANA akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia,


Lakini Petro akasema, La, hasha! Bwana, kwa maana sijawahi kula kitu kilicho kichafu au najisi.


kulungu, na paa, na kongoni, na mbuzi wa mwitu, na paa mweupe, na pofu, na mbuzi wa mlima;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo