Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 14:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

25 ndipo uzibadili ziwe fedha, na kufunga zile fedha uende nazo mkononi mwako, hata mahali atakapochagua BWANA, Mungu wako;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 “Uzeni mazao yenu na kuchukua fedha hiyo mpaka mahali Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, alipopachagua,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 “Uzeni mazao yenu na kuchukua fedha hiyo mpaka mahali Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, alipopachagua,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 “Uzeni mazao yenu na kuchukua fedha hiyo mpaka mahali Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, alipopachagua,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 basi badilisheni zaka yenu kuwa fedha, mkaichukue hiyo fedha mwende nayo mahali Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, atakapopachagua.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 basi badilisheni zaka yenu kuwa fedha, mkaichukue hiyo fedha mwende nayo mahali bwana Mwenyezi Mungu wenu atakapopachagua.

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 14:25
4 Marejeleo ya Msalaba  

Wakafika Yerusalemu, naye akaingia ndani ya hekalu, akaanza kuwafukuza wale waliokuwa wakiuza na kununua ndani ya hekalu, akazipindua meza za wabadili fedha, na viti vyao wauzao njiwa;


Akaingia hekaluni, akaanza kuwatoa wale waliokuwa wakifanya biashara,


Na njia ikiwa ndefu mno nawe, usiweze kuzichukua kwa kuwa mahali ni mbali nawe mno atakapochagua BWANA, Mungu wako, apakalishe jina lake, hapo atakapokubarikia BWANA, Mungu wako;


na zile fedha zitumie kwa chochote itakachotamani roho yako, ng'ombe, au kondoo, au divai, au kileo, au roho yako itakacho kwako chochote; nawe utakula huko mbele za BWANA, Mungu wako; tena furahi, wewe na nyumba yako;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo