Kumbukumbu la Torati 14:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika mavuno yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 “Toeni sehemu moja ya kumi ya mazao yenu yote ya shambani kila mwaka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 “Toeni sehemu moja ya kumi ya mazao yenu yote ya shambani kila mwaka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 “Toeni sehemu moja ya kumi ya mazao yenu yote ya shambani kila mwaka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Hakikisheni mmetenga sehemu ya kumi ya mazao yote ya mashamba yenu kila mwaka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Hakikisheni mmetenga sehemu ya kumi ya mazao yote ya mashamba yenu kila mwaka. Tazama sura |