Kumbukumbu la Torati 14:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Na wadudu wote watambaao wenye mabawa ni najisi kwenu; msiwale. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Na wadudu wote wenye mabawa ni najisi kwenu; msiwale. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Na wadudu wote wenye mabawa ni najisi kwenu; msiwale. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Na wadudu wote wenye mabawa ni najisi kwenu; msiwale. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Wadudu wote warukao kwa makundi ni najisi kwenu, msiwale. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Wadudu wote warukao kwa makundi ni najisi kwenu, msiwale. Tazama sura |