Kumbukumbu la Torati 14:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 na kila kisichokuwa na mapezi na magamba msile; ni najisi kwenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Lakini kiumbe chochote kinachoishi majini kisicho na mapezi wala magamba msile; hivyo ni najisi kwenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Lakini kiumbe chochote kinachoishi majini kisicho na mapezi wala magamba msile; hivyo ni najisi kwenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Lakini kiumbe chochote kinachoishi majini kisicho na mapezi wala magamba msile; hivyo ni najisi kwenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Lakini chochote kisicho na mapezi na magamba msile; kwenu ni najisi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Lakini chochote kisicho na mapezi na magamba msile; kwenu ni najisi. Tazama sura |