Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 13:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

12 Ukisikia yasemwa habari ya miji yako mmojawapo, akupayo BWANA, Mungu wako, ukae humo, ukiambiwa,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 “Mtakapoishi katika miji ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawapa, huenda mkasikia

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 “Mtakapoishi katika miji ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawapa, huenda mkasikia

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 “Mtakapoishi katika miji ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawapa, huenda mkasikia

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Mkisikia ikisemwa kwamba moja ya miji ambayo Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, anawapa mkae ndani yake

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Kama mkisikia ikisemwa kwamba moja ya miji ambayo bwana Mwenyezi Mungu wenu anawapa mkae ndani yake

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 13:12
8 Marejeleo ya Msalaba  

Hivyo nitaukomesha uasherati katika nchi hii, ili wanawake wote wafundishwe, wasifanye uasherati kama mlivyofanya.


Na Israeli wote watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako.


Kumetoka katikati yako mabaradhuli kadha wa kadha, wamewapotoa wenyeji wa mji wao, wakisema, Twendeni tukaabudu miungu mingine msiyoijua;


Na hao watu wote watasikia na kuogopa, wasifanye tena kwa kujikinai.


Na watakaosalia watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako.


Wanaume wote wa mji wake na wamtupie mawe, afe; ndivyo utakavyoondoa uovu katikati yako; na Israeli wote watasikia na kuogopa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo