Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 12:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

4 Wala msimfanyie hivyo BWANA, Mungu wenu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 “Wala msimwabudu Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, namna hiyo yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 “Wala msimwabudu Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, namna hiyo yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 “Wala msimwabudu Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, namna hiyo yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Kamwe msimwabudu Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, kama wanavyoabudu wao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Kamwe msimwabudu bwana Mwenyezi Mungu wenu kama wanavyoabudu wao.

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 12:4
8 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa kuwa BWANA atawapiga Israeli kama manyasi yatikiswavyo majini; naye atawang'oa Israeli katika nchi hii njema, aliyowapa baba zao, naye atawatawanya ng'ambo ya Mto; kwa sababu wamejitengenezea Maashera yao, wakimkasirisha BWANA.


Nanyi msiende kwa kuzifuata desturi za taifa, niitoayo mbele yenu; kwa kuwa wao waliyafanya mambo hayo yote, na kwa ajili ya hayo niliwachukia.


nanyi zivunjeni madhabahu zao, zibomoeni nguzo zao, na maashera yao yateketezeni kwa moto, na sanamu za kuchonga za miungu yao zikateni; na jina lao lifutilieni mbali na mahali hapo.


Lakini mahali atakapochagua BWANA, Mungu wenu, katika makabila yenu yote, apaweke jina lake, maana, ni makao yake, elekezeni nyuso zenu hapo, nawe uende huko;


wasije wakawafunza kufanya mfano wa machukizo yao yote, waliyoifanyia miungu yao; hivyo itakuwa ni makosa juu ya BWANA, Mungu wenu.


Nao wakawafikia hao wana wa Reubeni, na wana wa Gadi, na hiyo nusu ya kabila la Manase, katika nchi ya Gileadi, na wakasema nao, wakinena,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo