Kumbukumbu la Torati 12:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Neno lolote ninalowaagiza lizingatieni, usilizidishe, wala usilipunguze. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 “Hakikisheni kwamba mmefanya kila kitu nilichowaamuru; msiongeze kitu wala msipunguze kitu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 “Hakikisheni kwamba mmefanya kila kitu nilichowaamuru; msiongeze kitu wala msipunguze kitu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 “Hakikisheni kwamba mmefanya kila kitu nilichowaamuru; msiongeze kitu wala msipunguze kitu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Hakikisheni kwamba mnafanya yote niliyowaamuru; msiongeze kitu wala msipunguze kitu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Angalieni kwamba mnafanya yote niliyowaamuru; msiongeze kitu wala msipunguze kitu. Tazama sura |