Kumbukumbu la Torati 12:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Ila vitu vyako vitakatifu ulivyo navyo, na nadhiri zako, uvitwae uende mahali atakapochagua BWANA; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Vitu vitakatifu mtakavyotoa na sadaka zenu za nadhiri, mtavichukua na kuvipeleka mahali Mwenyezi-Mungu atakapochagua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Vitu vitakatifu mtakavyotoa na sadaka zenu za nadhiri, mtavichukua na kuvipeleka mahali Mwenyezi-Mungu atakapochagua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Vitu vitakatifu mtakavyotoa na sadaka zenu za nadhiri, mtavichukua na kuvipeleka mahali Mwenyezi-Mungu atakapochagua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Lakini vichukueni vitu vyenu vilivyowekwa wakfu pamoja na vile mlivyoweka nadhiri, mwende mahali pale Mwenyezi Mungu atakapopachagua. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Lakini vichukueni vitu vyenu vilivyowekwa wakfu pamoja na vile mlivyoweka nadhiri, mwende mahali pale bwana atakapopachagua. Tazama sura |