Kumbukumbu la Torati 12:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Usiile; imwage juu ya nchi kama maji. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Msile damu hiyo, bali imwageni chini kama maji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Msile damu hiyo, bali imwageni chini kama maji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Msile damu hiyo, bali imwageni chini kama maji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Hamruhusiwi kamwe kula damu; imwageni ardhini kama maji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Hamruhusiwi kamwe kunywa damu; imwageni juu ya ardhi kama maji. Tazama sura |