Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 12:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

22 Kama vile anavyoliwa paa na kulungu, ndivyo utakavyoila nyama hii; asiyekuwa tohara na aliye tohara wataila pia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Mtaila nyama hiyo kama aliwavyo paa au kulungu. Mtu yeyote anaweza kula, aliye safi na asiye safi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Mtaila nyama hiyo kama aliwavyo paa au kulungu. Mtu yeyote anaweza kula, aliye safi na asiye safi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Mtaila nyama hiyo kama aliwavyo paa au kulungu. Mtu yeyote anaweza kula, aliye safi na asiye safi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Mle kama vile mngekula paa na kulungu. Wote walio najisi na walio safi mnaweza kula.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Mle kama vile mngekula paa na kulungu. Wote walio najisi kiibada na walio safi mwaweza kula.

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 12:22
5 Marejeleo ya Msalaba  

Na mahali atakapochagua BWANA, Mungu wako, apaweke jina lake, pakiwa mbali nawe mno, ndipo utakapochinja katika kundi lako la ng'ombe na kondoo alilokupa BWANA kama nilivyokuagiza, nawe utakula ndani ya malango yako, kwa kufuata yote inayotamani roho yako.


Ila ujihadhari kwamba usile damu, kwani ile damu ndiyo uhai; na uhai usile pamoja na nyama.


kulungu, na paa, na kongoni, na mbuzi wa mwitu, na paa mweupe, na pofu, na mbuzi wa mlima;


Utamla ndani ya malango yako; wasio tohara na wenye tohara pia watakula, kama unavyokula paa na kulungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo