Kumbukumbu la Torati 12:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Jilinde nafsi yako usimpuuze Mlawi siku zote utakazoishi katika nchi yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Pia hakikisheni kwamba hamtawasahau Walawi muda wote mtakaoishi katika nchi yenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Pia hakikisheni kwamba hamtawasahau Walawi muda wote mtakaoishi katika nchi yenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Pia hakikisheni kwamba hamtawasahau Walawi muda wote mtakaoishi katika nchi yenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Mwe waangalifu msiwapuuze Walawi kwa muda wote mnaoishi katika nchi yenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Mwe waangalifu msiwapuuze Walawi kwa muda wote mnaoishi katika nchi yenu. Tazama sura |