Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 11:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

7 lakini macho yenu yameiona kazi kubwa ya BWANA aliyoifanya, yote.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Maana macho yenu yameona matendo yote haya makubwa ambayo Mwenyezi-Mungu aliyafanya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Maana macho yenu yameona matendo yote haya makubwa ambayo Mwenyezi-Mungu aliyafanya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Maana macho yenu yameona matendo yote haya makubwa ambayo Mwenyezi-Mungu aliyafanya.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Bali ni macho yenu wenyewe yaliyoyaona mambo haya yote makuu Mwenyezi Mungu aliyoyatenda.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Bali ilikuwa ni macho yenu wenyewe ambayo yaliyaona mambo haya yote makuu bwana aliyoyatenda.

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 11:7
12 Marejeleo ya Msalaba  

Nani awezaye kuyanena matendo makuu ya BWANA, Au kuzihubiri sifa zake zote?


Ili kuwajulisha watu matendo yake makuu, Na utukufu wa fahari ya ufalme wake.


Msifuni kwa matendo yake makuu; Msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake.


na alivyowafanya Dathani, na Abiramu, wana wa Eliabu mwana wa Reubeni; nchi ilivyofunua kinywa chake, ikawameza, na walio nyumbani mwao, na mahema yao, na kila kitu kilichokuwa hai kikiwafuata, katikati ya Israeli yote;


Kwa hiyo yaangalieni maagizo yote niwaagizayo leo, mpate kuwa na nguvu, na kuingia mkaimiliki nchi mwivukiayo kuimiliki;


Basi isikize sauti ya BWANA, Mungu wako, ufanye maagizo yake na amri zake nikuagizavyo leo.


Musa akawaita Israeli wote akawaambia, Mmeyaona yote BWANA aliyomfanya Farao katika nchi ya Misri mbele ya macho yenu, yeye na watumwa wake wote, na nchi yake yote;


Macho yenu yameona aliyoyatenda BWANA kwa sababu ya Baal-peori; maana wote waliomfuata Baal-peori, BWANA, Mungu wako, amewaangamiza kutoka kati yako.


BWANA hakufanya agano hili na baba zetu, bali na sisi, yaani, sisi sote tuliopo hapa, tu hai.


uyakumbuke hayo majaribu makuu yaliyoyaona macho yako, na hizo ishara, na maajabu, na mkono wa nguvu, na mkono ulionyoka, aliokutolea nje BWANA, Mungu wako; ndivyo atakavyowafanya BWANA, Mungu wako, mataifa yote unaowaogopa.


Nao Israeli wakamtumikia BWANA siku zote za Yoshua, na siku zote za hao wazee walioishi baada ya kufa kwake Yoshua, hao walioijua kazi yote ya BWANA, aliyowatendea Israeli.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo