Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 11:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

5 na mambo aliyowafanyia ninyi nyikani, hadi mkafika mahali hapa;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Pia kumbukeni aliyowafanyieni Mwenyezi-Mungu jangwani kabla hamjafika hapa,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Pia kumbukeni aliyowafanyieni Mwenyezi-Mungu jangwani kabla hamjafika hapa,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Pia kumbukeni aliyowafanyieni Mwenyezi-Mungu jangwani kabla hamjafika hapa,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Sio watoto wenu walioyaona yale Mungu aliyowafanyia huko jangwani hadi mkafika mahali hapa,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Sio watoto wenu walioyaona yale Mungu aliyowafanyia huko jangwani mpaka mkafika mahali hapa,

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 11:5
7 Marejeleo ya Msalaba  

Yeye aliyewaongoza watu wake jangwani; Kwa maana fadhili zake ni za milele.


Uliwaongoza watu wako kama kundi, Kwa mkono wa Musa na Haruni.


na alivyolifanya jeshi la Misri, farasi wao, na magari yao; na alivyowafunika kwa maji ya Bahari ya Shamu walipokuwa wakiwaandama, na alivyowaangamiza BWANA hata hivi leo;


na alivyowafanya Dathani, na Abiramu, wana wa Eliabu mwana wa Reubeni; nchi ilivyofunua kinywa chake, ikawameza, na walio nyumbani mwao, na mahema yao, na kila kitu kilichokuwa hai kikiwafuata, katikati ya Israeli yote;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo