Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 11:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

4 na alivyolifanya jeshi la Misri, farasi wao, na magari yao; na alivyowafunika kwa maji ya Bahari ya Shamu walipokuwa wakiwaandama, na alivyowaangamiza BWANA hata hivi leo;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 aliyoyatendea majeshi ya Misri, farasi wao na magari yao ya vita, jinsi alivyozamisha jeshi hilo katika bahari ya Shamu, na jinsi Mwenyezi-Mungu alivyoliangamiza hata hivi leo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 aliyoyatendea majeshi ya Misri, farasi wao na magari yao ya vita, jinsi alivyozamisha jeshi hilo katika bahari ya Shamu, na jinsi Mwenyezi-Mungu alivyoliangamiza hata hivi leo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 aliyoyatendea majeshi ya Misri, farasi wao na magari yao ya vita, jinsi alivyozamisha jeshi hilo katika bahari ya Shamu, na jinsi Mwenyezi-Mungu alivyoliangamiza hata hivi leo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 lile alilolifanyia jeshi la Wamisri, farasi na magari yake ya vita, jinsi alivyowafurikisha na maji ya Bahari ya Shamu walipokuwa wakiwafuatilia ninyi, na jinsi Mwenyezi Mungu alivyowaletea angamizi la kudumu juu yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 lile alilolifanyia jeshi la Wamisri, farasi na magari yake, jinsi alivyowafurikisha na maji ya Bahari ya Shamu walipokuwa wakiwafuatilia ninyi, na jinsi bwana alivyowaletea angamizo la kudumu juu yao.

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 11:4
9 Marejeleo ya Msalaba  

Maji yakawafunika watesi wao, Hakusalia hata mmoja wao.


Kwa maana farasi wa Farao na magari yake na wapanda farasi wake waliingia ndani ya bahari, BWANA akayarudisha maji ya bahari juu yao; bali wana wa Israeli walikwenda katika nchi kavu katikati ya bahari.


Magari ya Farao na jeshi lake amewatupa baharini, Maofisa wake wateule wamezama katika Bahari ya Shamu.


Na ninyi basi geukeni, mshike safari yenu, mwende jangwani kwa njia ya Bahari ya Shamu.


na mambo aliyowafanyia ninyi nyikani, hadi mkafika mahali hapa;


Ndipo tukageuka, tukashika maisha ya jangwani kwa njia ya Bahari ya Shamu, kama alivyoniambia BWANA; tukaizunguka milima ya Seiri siku nyingi.


Kwa imani wakapita kati ya Bahari ya Shamu, kama katika nchi kavu; Wamisri walipojaribu kufanya vivyo wakatoswa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo