Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 11:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

31 Kwani ninyi mtavuka Yordani mwingie kuimiliki nchi awapayo BWANA, Mungu wenu, nanyi muimiliki na kuketi humo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Itawabidi kuvuka mto Yordani mwingie kuimiliki nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawapeni. Basi, mtakapoimiliki na kukaa humo,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Itawabidi kuvuka mto Yordani mwingie kuimiliki nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawapeni. Basi, mtakapoimiliki na kukaa humo,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Itawabidi kuvuka mto Yordani mwingie kuimiliki nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawapeni. Basi, mtakapoimiliki na kukaa humo,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Karibu mvuke ng’ambo ya Yordani kuingia na kuimiliki nchi ambayo Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, anawapa. Mtakapokuwa mmeimiliki na mnaishi humo,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Karibu mvuke ng’ambo ya Yordani kuingia na kuimiliki nchi ambayo bwana Mwenyezi Mungu wenu anawapa. Wakati mtakapokuwa mmeichukua na mnaishi humo,

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 11:31
7 Marejeleo ya Msalaba  

nanyi mtaishika hiyo nchi kuimiliki na kuishi humo; kwa kuwa mimi nimewapa ninyi hiyo nchi ili mwimiliki.


Nanyi angalieni mzifanye amri na hukumu zote niwawekeazo leo mbele yenu.


Utakapokwisha kuingia katika nchi akupayo BWANA, Mungu wako ukaimiliki, na kukaa humo; nawe utakaposema, Nitaweka mfalme juu yangu mfano wa mataifa yote yaliyo kandokando yangu;


Sikiza, Ee Israeli; hivi leo unataka kuvuka Yordani uingie kwa kuwamiliki mataifa yaliyo makubwa, na yenye nguvu kukupita, miji mikubwa iliyojengewa kuta hadi mbinguni,


Piteni katika kambi, mkawaamuru hao watu, mkisema, Tayarisheni vyakula; kwa maana baada ya siku tatu mtavuka mto huu wa Yordani, ili kuingia na kuimiliki nchi awapayo BWANA, Mungu wenu, mpate kuimiliki.


Basi BWANA aliwapa Israeli nchi hiyo yote, ambayo aliapa kwamba atawapa baba zao; nao wakaimiliki, na kukaa humo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo