Kumbukumbu la Torati 11:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 na ishara zake, na kazi zake alizomfanya Farao mfalme wa Misri, na nchi yake yote, katikati ya Misri; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 ishara zake na maajabu yake aliyoyatenda kule Misri kwa Farao mfalme wa Misri na nchi yake yote; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 ishara zake na maajabu yake aliyoyatenda kule Misri kwa Farao mfalme wa Misri na nchi yake yote; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 ishara zake na maajabu yake aliyoyatenda kule Misri kwa Farao mfalme wa Misri na nchi yake yote; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 ishara alizozifanya na mambo aliyoyafanya katikati ya Misri, kwa Farao mfalme wa Misri na kwa nchi yake yote; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 ishara alizozifanya na mambo aliyoyafanya katikati ya Misri, kwa Farao mfalme wa Misri na kwa nchi yake yote; Tazama sura |