Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 11:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

28 na laana ni hapo msipotii maagizo ya BWANA, Mungu wenu, mkapotoka katika njia niwaagizayo leo, kwa kuandama miungu mingine msiyoijua.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 na laana, kama hamtazitii amri za Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kuiacha njia ninayowaamuru, mkaabudu miungu mingine ambayo hata hamjawahi kuijua.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 na laana, kama hamtazitii amri za Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kuiacha njia ninayowaamuru, mkaabudu miungu mingine ambayo hata hamjawahi kuijua.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 na laana, kama hamtazitii amri za Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kuiacha njia ninayowaamuru, mkaabudu miungu mingine ambayo hata hamjawahi kuijua.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 laana kama hamtatii maagizo ya Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, na kuacha njia ninayowaamuru leo kwa kufuata miungu mingine, ambayo hamkuijua.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 laana kama hamtatii maagizo ya bwana Mwenyezi Mungu wenu na kuacha njia ambayo ninawaamuru leo kwa kufuata miungu mingine, ambayo hamkuijua.

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 11:28
10 Marejeleo ya Msalaba  

Laana ya BWANA i katika nyumba ya waovu, Bali huibariki maskani ya mwenye haki.


bali kama mkikataa na kuasi mtaangamizwa kwa upanga; maana kinywa cha BWANA kimenena haya.


Ole wake mtu mbaya; shari itakuwa kwake, kwa maana atapewa malipo ya mikono yake.


kama hamwonei mgeni, wala yatima, wala mjane, wala kumwaga damu isiyo na hatia mahali hapa, wala kuifuata miungu mingine kwa hasara yenu wenyewe;


Kisha atawaambia na wale walioko katika mkono wake wa kushoto, Ondokeni kwangu, mliolaaniwa, mwende katika moto wa milele, aliowekewa tayari Ibilisi na malaika zake;


Kwa maana wale wote walio wa matendo ya sheria, wako chini ya laana; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu asiyedumu katika yote yaliyoandikwa katika kitabu cha Torati, ayafanye.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo