Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 11:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

27 baraka ni hapo mtakapoyafuata maagizo ya BWANA, Mungu wenu, niwaagizayo leo;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Baraka, kama mtatii amri za Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ambazo nawapeni hivi leo;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Baraka, kama mtatii amri za Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ambazo nawapeni hivi leo;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 baraka, kama mtatii amri za Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ambazo nawapeni hivi leo;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 baraka kama mtatii maagizo ya Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, ninayowapa leo;

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 baraka kama mtatii maagizo ya bwana Mwenyezi Mungu wenu, ambayo ninawapa leo;

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 11:27
14 Marejeleo ya Msalaba  

Tena mtumishi wako huonywa kwazo, Katika kuzishika kuna thawabu kuu.


Kama mkikubali na kutii mtakula mema ya nchi;


Waambieni wenye haki ya kuwa watakuwa heri, kwa maana watakula matunda ya matendo yao


Niliyowaamuru baba zenu, siku ile nilipowatoa katika nchi ya Misri, katika tanuri ya chuma, nikisema, Itiini sauti yangu, mkafanye sawasawa na yote niwaagizayo ninyi; ndivyo mtakavyokuwa watu wangu, nami nitakuwa Mungu wenu;


Lakini yeye alisema, Afadhali, heri walisikiao neno la Mungu na kulishika.


Mkiyajua hayo, heri ninyi mkiyatenda.


wale ambao kwa subira katika kutenda mema wanatafuta utukufu na heshima na kutoharibika, watapewa uzima wa milele;


Lakini aliyeitazama sheria kamilifu iliyo ya uhuru, na kukaa humo, asiwe msikiaji msahaulifu, bali mtendaji wa kazi, huyo atakuwa heri katika kutenda kwake.


Heri wazifuao nguo zao, ili wawe na haki ya kuuendea huo mti wa uzima, na kuingia mjini kwa milango yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo