Kumbukumbu la Torati 11:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Kwa kuwa kama mtayazingatia kwa bidii maagizo haya yote niwaagizayo, kuyafanya; kumpenda BWANA, Mungu wenu, na kutembea katika njia zake zote, na kushikamana naye; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 “Mkijihadhari kutenda amri zote ambazo nimewapa: Kumpenda Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kuzifuata njia zake zote na kuambatana naye, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 “Mkijihadhari kutenda amri zote ambazo nimewapa: Kumpenda Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kuzifuata njia zake zote na kuambatana naye, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 “Mkijihadhari kutenda amri zote ambazo nimewapa: kumpenda Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kuzifuata njia zake zote na kuambatana naye, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Mkizingatia kwa makini maagizo haya yote ninayowapa kuyafuata, ya kumpenda Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, kuenenda katika njia zake zote na kushikamana naye kwa uthabiti, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Kama mkishika kwa makini maagizo haya yote ninayowapa kuyafuata, ya kumpenda bwana Mwenyezi Mungu wenu, kuenenda katika njia zake zote na kushikamana naye kwa uthabiti, Tazama sura |