Kumbukumbu la Torati 11:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Nami nitakupa nyasi katika mavue yako kulisha wanyama wako wa mifugo, nawe utakula na kushiba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Ataotesha majani mashambani kwa ajili ya ng'ombe wenu, nanyi mtakula na kushiba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Ataotesha majani mashambani kwa ajili ya ng'ombe wenu, nanyi mtakula na kushiba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Ataotesha majani mashambani kwa ajili ya ng'ombe wenu, nanyi mtakula na kushiba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Nitawapa majani katika malisho yako kwa ajili ya ng’ombe wenu, nanyi mtakula na kushiba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Nitawapa majani kwa ajili ya ng’ombe wenu, nanyi mtakula na kushiba. Tazama sura |