Kumbukumbu la Torati 10:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Wakasafiri kutoka huko kwenda Gudgoda; wakatoka Gudgoda wakaenda Yotbatha, nayo ni nchi ya vijito vya maji. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Kutoka hapo, walisafiri hadi Gudgoda, na kutoka Gudgoda hadi Yot-batha, eneo lenye vijito vingi vya maji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Kutoka hapo, walisafiri hadi Gudgoda, na kutoka Gudgoda hadi Yot-batha, eneo lenye vijito vingi vya maji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Kutoka hapo, walisafiri hadi Gudgoda, na kutoka Gudgoda hadi Yot-batha, eneo lenye vijito vingi vya maji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Kutoka pale, walisafiri hadi Gudgoda wakaendelea hadi Yotbatha, nchi yenye vijito vya maji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Kutoka pale, walisafiri hadi Gudgoda wakaendelea mpaka Yotbatha, nchi yenye vijito vya maji. Tazama sura |