Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 10:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 kuzifuata amri za BWANA na sheria zake, ninazokuamuru leo, upate uheri?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 na kuzitii amri na masharti ya Mwenyezi-Mungu ninayowawekea leo, kwa manufaa yenu wenyewe?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 na kuzitii amri na masharti ya Mwenyezi-Mungu ninayowawekea leo, kwa manufaa yenu wenyewe?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 na kuzitii amri na masharti ya Mwenyezi-Mungu ninayowawekea leo, kwa manufaa yenu wenyewe?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 na kuyashika maagizo ya Mwenyezi Mungu na amri zake ninazokupa leo kwa mafanikio yako mwenyewe?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 na kuyashika maagizo ya bwana na amri zake ninazokupa leo kwa mafanikio yako mwenyewe?

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 10:13
7 Marejeleo ya Msalaba  

Sulemani naye akampenda BWANA, akienda katika amri za Daudi babaye, ila hutoa dhabihu na kufukiza uvumba katika mahali pa juu.


Kama una hekima, una hekima kwa nafsi yako; Na kama una dharau, utaichukua peke yako.


nami nitawapa moyo mmoja na njia moja, wapate kunicha sikuzote; kwa mema yao, na ya watoto wao baada yao;


Na sasa, Israeli, BWANA, Mungu wako, anataka nini kwako, ila umche BWANA, Mungu wako, na kwenda katika njia zake zote, na kumpenda, na kumtumikia BWANA, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote;


Tazama, mbingu ni mali ya BWANA, Mungu wako, na mbingu za mbingu, na nchi, na vitu vyote vilivyomo.


BWANA akatuamuru kuzifanya amri hizi zote, tumche BWANA, Mungu wetu, tuone mema sikuzote ili atuhifadhi hai kama hivi leo.


Lakini aliyeitazama sheria kamilifu iliyo ya uhuru, na kukaa humo, asiwe msikiaji msahaulifu, bali mtendaji wa kazi, huyo atakuwa heri katika kutenda kwake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo