Kumbukumbu la Torati 10:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Nikakaa mle mlimani kama hapo kwanza, siku arubaini usiku na mchana; BWANA akanisikiza wakati huo nao; BWANA asitake kukuangamiza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 “Nilikaa mlimani kwa muda wa siku arubaini, usiku na mchana, kama hapo awali. Mwenyezi-Mungu alinisikiliza kwa mara nyingine tena na akakubali kwamba hatawaangamiza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 “Nilikaa mlimani kwa muda wa siku arubaini, usiku na mchana, kama hapo awali. Mwenyezi-Mungu alinisikiliza kwa mara nyingine tena na akakubali kwamba hatawaangamiza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 “Nilikaa mlimani kwa muda wa siku arubaini, usiku na mchana, kama hapo awali. Mwenyezi-Mungu alinisikiliza kwa mara nyingine tena na akakubali kwamba hatawaangamiza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Basi nilikaa mlimani kwa siku arobaini usiku na mchana, kama nilivyofanya mara ya kwanza, pia Mwenyezi Mungu alinisikiliza hata wakati huu. Haikuwa nia yake kuwaangamiza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Basi nilikaa mlimani kwa siku arobaini usiku na mchana, kama nilivyofanya mara ya kwanza, pia bwana alinisikiliza hata wakati huu. Haikuwa nia yake kuwaangamiza. Tazama sura |