Kumbukumbu la Torati 10:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Wakati ule BWANA akaniambia, Chonga mbao mbili za mawe mfano wa zile za kwanza, kisha uje kwangu huku mlimani, ukajifanyie na sanduku la mti. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 “Kisha Mwenyezi-Mungu akaniambia, ‘Chonga vibao viwili vya mawe kama vile vya kwanza, na sanduku la mbao, halafu uje kwangu huku juu mlimani, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 “Kisha Mwenyezi-Mungu akaniambia, ‘Chonga vibao viwili vya mawe kama vile vya kwanza, na sanduku la mbao, halafu uje kwangu huku juu mlimani, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 “Kisha Mwenyezi-Mungu akaniambia, ‘Chonga vibao viwili vya mawe kama vile vya kwanza, na sanduku la mbao, halafu uje kwangu huku juu mlimani, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Wakati ule Mwenyezi Mungu aliniambia, “Chonga vibao viwili vya mawe kama vile vya kwanza uje kwangu juu mlimani. Pia utengeneze Sanduku la mbao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Wakati ule bwana aliniambia, “Chonga vibao viwili vya mawe kama vile vya kwanza uje kwangu juu mlimani. Pia utengeneze Sanduku la mbao. Tazama sura |