Kumbukumbu la Torati 1:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Nami wakati ule niliwaambia, nikasema, Mimi siwezi kuwachukua peke yangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Mose akawaambia watu, “Tulipokuwa bado mlimani Sinai, mimi niliwaambieni hivi: ‘Jukumu la kuwaongozeni ni kubwa mno kwangu mimi peke yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Mose akawaambia watu, “Tulipokuwa bado mlimani Sinai, mimi niliwaambieni hivi: ‘Jukumu la kuwaongozeni ni kubwa mno kwangu mimi peke yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Mose akawaambia watu, “Tulipokuwa bado mlimani Sinai, mimi niliwaambieni hivi: ‘Jukumu la kuwaongozeni ni kubwa mno kwangu mimi peke yangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Wakati ule niliwaambia, “Ninyi mmekuwa mzigo mzito sana kwangu kuwachukua peke yangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Wakati ule niliwaambia, “Ninyi mmekuwa mzigo mzito sana kwangu kuwachukua peke yangu. Tazama sura |