Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 1:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

6 BWANA, Mungu wetu, alituambia huko Horebu, akasema, Mmekaa katika mlima huu vya kutosha;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 “Tulipokuwa mlimani Sinai, Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu alituambia hivi: ‘Mmekaa muda wa kutosha kwenye mlima huu;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 “Tulipokuwa mlimani Sinai, Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu alituambia hivi: ‘Mmekaa muda wa kutosha kwenye mlima huu;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 “Tulipokuwa mlimani Sinai, Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu alituambia hivi: ‘Mmekaa muda wa kutosha kwenye mlima huu;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, alisema nasi huko Horebu, “Mmekaa muda wa kutosha katika mlima huu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 bwana Mwenyezi Mungu wetu alisema nasi huko Horebu, “Mmekaa vya kutosha katika mlima huu.

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 1:6
9 Marejeleo ya Msalaba  

Tazama, nitasimama mbele yako huko, juu ya lile jabali katika Horebu; nawe utalipiga jabali, na maji yatatoka, watu wapate kunywa. Musa akafanya hivyo mbele ya wazee wa Israeli.


Basi huyo Musa alikuwa akilichunga kundi la Yethro mkwewe, kuhani wa Midiani; akaliongoza kundi nyuma ya jangwa, akafika mpaka mlima wa Mungu, hata Horebu.


Ikiwa lile wingu lilikawia, likikaa juu ya maskani siku mbili, au mwezi, au mwaka, wana wa Israeli walikaa katika kambi yao, wasisafiri;


ni ng'ambo ya Yordani katika nchi ya Moabu, alipoanza Musa kufunua torati hii, akisema,


Kama vile ulivyotaka kwa BWANA, Mungu wako, huko Horebu, siku ya kusanyiko, ukisema, Nisisikie tena sauti ya BWANA, Mungu wangu, wala nisiuone tena moto huu mkubwa, nisije nikafa.


BWANA, Mungu wetu, alifanya agano nasi katika Horebu.


Tena mlimkasirisha BWANA katika Horebu, BWANA akakasirika hadi akataka kuwaangamiza.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo