Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 1:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

5 ni ng'ambo ya Yordani katika nchi ya Moabu, alipoanza Musa kufunua torati hii, akisema,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Mose alichukua jukumu la kuwaelezea watu sheria ya Mungu wakati walipokuwa ngambo ya pili ya mto Yordani. Aliwaambia hivi:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Mose alichukua jukumu la kuwaelezea watu sheria ya Mungu wakati walipokuwa ngambo ya pili ya mto Yordani. Aliwaambia hivi:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Mose alichukua jukumu la kuwaelezea watu sheria ya Mungu wakati walipokuwa ng'ambo ya pili ya mto Yordani. Aliwaambia hivi:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Huko mashariki mwa Yordani katika nchi ya Moabu, Musa alianza kuielezea sheria hii, akisema:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Huko mashariki ya Yordani katika nchi ya Moabu, Musa alianza kuielezea sheria hii, akisema:

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 1:5
8 Marejeleo ya Msalaba  

alipokwisha kumpiga Sihoni mfalme wa Waamori, aliyekuwa akikaa Heshboni, na Ogu mfalme wa Bashani, aliyekuwa akikaa Ashtarothi iliyo katika Edrei;


BWANA, Mungu wetu, alituambia huko Horebu, akasema, Mmekaa katika mlima huu vya kutosha;


Musa akaiandika torati hii, akawapa makuhani, wana wa Lawi, waliolichukua sanduku la Agano la BWANA, na wazee wote wa Israeli.


akawaambia, Yawekeni mioyoni mwenu maneno yote ambayo nashuhudia kwenu hivi leo; nayo waamuruni watoto wenu, wayatunze na kuyafanya maneno yote ya torati hii.


Na torati Musa aliyowawekea wana wa Israeli ni hii;


ng'ambo ya Yordani, katika bonde lililoelekea Beth-peori, katika nchi ya Sihoni mfalme wa Waamori, aliyekuwa akikaa Heshboni ndiye aliyepigwa na Musa na wana wa Israeli, walipotoka Misri;


Tena liko taifa gani kubwa, lililo na amri na hukumu zenye haki kama torati hii yote, ninayoiweka mbele yenu leo?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo