Kumbukumbu la Torati 1:45 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC45 Mkarudi mkalia mbele za BWANA; BWANA asiisikize sauti yenu, wala hakuelekeza masikio yake kwenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema45 Ndipo mliporudi, mkamlilia Mwenyezi-Mungu, lakini Mwenyezi-Mungu hakuwasikiliza wala hakuwajali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND45 Ndipo mliporudi, mkamlilia Mwenyezi-Mungu, lakini Mwenyezi-Mungu hakuwasikiliza wala hakuwajali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza45 Ndipo mliporudi, mkamlilia Mwenyezi-Mungu, lakini Mwenyezi-Mungu hakuwasikiliza wala hakuwajali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu45 Mlirudi na kulia mbele za Mwenyezi Mungu, lakini Mungu hakusikiliza kilio chenu, wala hakuwajali. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu45 Mlirudi na kulia mbele za bwana, lakini Mungu hakusikiliza kilio chenu, wala hakuwajali. Tazama sura |