Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 1:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

34 BWANA akaisikia sauti ya maneno yenu, akaghadhibika, akaapa, akasema,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 “Mwenyezi-Mungu aliyasikia manunguniko yenu, akakasirika, akaapa akisema:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 “Mwenyezi-Mungu aliyasikia manunguniko yenu, akakasirika, akaapa akisema:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 “Mwenyezi-Mungu aliyasikia manung'uniko yenu, akakasirika, akaapa akisema:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 Mwenyezi Mungu aliposikia lile mlilosema, alikasirika, akaapa kwamba:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 Wakati bwana aliposikia lile mlilosema, alikasirika, akaapa, akasema:

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 1:34
9 Marejeleo ya Msalaba  

Mungu alisikia, akaghadhibika, Akamkataa Israeli kabisa.


Ndipo Nikaapa kwa hasira yangu Hawataingia katika pumziko langu.


Tena niliwainulia mkono wangu jangwani, ya kwamba sitawaingiza katika nchi ile niliyokuwa nimewapa, itiririkayo maziwa na asali, ambayo ni utukufu wa nchi zote;


Na tazama, ninyi kizazi cha watu wenye dhambi, mmeinuka badala ya baba zenu ili kuongeza tena hizo hasira kali za BWANA juu ya Israeli.


Tena ni akina nani aliowaapia ya kwamba hawataingia katika pumziko lake, ila wale walioasi?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo