Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Kumbukumbu la Torati 1:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

32 Lakini katika jambo hili hamkumwamini BWANA, Mungu wenu,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

32 Lakini japo nilisema hayo yote, nyinyi hamkumwamini Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

32 Lakini japo nilisema hayo yote, nyinyi hamkumwamini Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

32 Lakini japo nilisema hayo yote, nyinyi hamkumwamini Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

32 Pamoja na hili, hamkumtegemea Mwenyezi Mungu, Mungu wenu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

32 Pamoja na hili, hamkumtegemea bwana Mwenyezi Mungu wenu,

Tazama sura Nakili




Kumbukumbu la Torati 1:32
9 Marejeleo ya Msalaba  

Wakaamka asubuhi na mapema, wakaenda nje katika jangwa la Tekoa; nao walipokuwa wakitoka, Yehoshafati akasimama, akasema, Nisikieni, enyi Yuda nanyi wenyeji wa Yerusalemu; mwaminini BWANA, Mungu wenu, ndivyo mtakavyothibitika; waaminini manabii wake, ndivyo mtakavyofanikiwa.


Wakaidharau nchi ile ya kupendeza, Wala hawakuliamini neno lake.


Kwa kuwa hawakumwamini Mungu, Wala hawakuutumainia wokovu wake.


tena kichwa cha Efraimu ni Samaria, na kichwa cha Samaria ni mwana wa Remalia. Ikiwa hamtasimama imara katika imani, hamtathibitika kamwe.


BWANA akamwuliza Musa, Je! Watu hawa watanidharau hadi lini? Wasiniamini hadi lini? Nijapokuwa nimefanya ishara hizo zote kati yao.


Hadharini, ndugu zangu, usiwepo katika mmoja wenu moyo mbovu wa kutoamini, ujitengao na Mungu aliye hai.


Maana ni kweli, sisi nasi tumehubiriwa Habari Njema vile vile kama hao. Lakini neno lile lililosikiwa halikuwafaa hao, kwa sababu halikuchanganyika na imani ndani yao waliosikia.


Tena napenda kuwakumbusha, ijapokuwa mmekwisha kujua haya yote, ya kwamba Bwana, akiisha kuwaokoa watu katika nchi ya Misri, aliwaangamiza baadaye wale wasioamini.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo